Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Za ndani kuna pande mbili zinavutana,Yanga asili hawapo tena,baada ya engineer kuwa rais, hata press baada ya hapo hazina logo ya Yanga (asili) ni makampuni yanayodhamini tu. GSM wamelalamika kupigwa hela nyingi wakati hakukuwa na ushindani kwa mchezaji aliyesajiliwa wa mwisho.
Kwa vile GSM ana jambo lake kigamboni amekasirika kambi itakuwa pale pale maana hata uturuki na Moro ni upigaji.
Kwa vile GSM ana jambo lake kigamboni amekasirika kambi itakuwa pale pale maana hata uturuki na Moro ni upigaji.