SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mbona mkizusha nyie mnapeana likes lakini mkizushiwa nyie mayowe mengiii? Wenye akili watazungumza baada ya ligi kuanza sasa hivi mtaumizana vichwa tu. Ila Luc Eymael aliwapatia kweli kuwaita nyie mbwakoko,mnabweka ovyoSasa hivi maneno mengiii! Halafu ligi ikianza, mnaaza kulialia huku mkimshutumu GSM, eti anahonga timu pinzani! Cha kushangaza na timu yenu yenyewe nayo ilifungwa mara mbili ndani ya msimu mmoja!
Kweli Ismail Aden Rage alikuwa na akili za kipekee kwa kuwaita mbumbumbu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tabu iko pale pale,View attachment 2297109
Unaweza kuwa sahihi. [emoji91][emoji91]
Utopolooooo ktk ubora wako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hivi maneno mengiii! Halafu ligi ikianza, mnaaza kulialia huku mkimshutumu GSM, eti anahonga timu pinzani! Cha kushangaza na timu yenu yenyewe nayo ilifungwa mara mbili ndani ya msimu mmoja!
Kweli Ismail Aden Rage alikuwa na akili za kipekee kwa kuwaita mbumbumbu.
Moto na mchanga?Patamu hapo,jangwani kunawaka moto
Tukubaliane kabisa kwamba Yanga haina hela imeishia kwa Aziz Ki baadae zisije lawama za bahasha za kaki, yanga wananunua mechi.Za ndani kuna pande mbili zinavutana,Yanga asili hawapo tena,baada ya engineer kuwa rais, hata press baada ya hapo hazina logo ya Yanga (asili) ni makampuni yanayodhamini tu. GSM wamelalamika kupigwa hela nyingi wakati hakukuwa na ushindani kwa mchezaji aliyesajiliwa wa mwisho.
Kwa vile GSM ana jambo lake kigamboni amekasirika kambi itakuwa pale pale maana hata uturuki na Moro ni upigaji.
Mbona mkizusha nyie mnapeana likes lakini mkizushiwa nyie mayowe mengiii? Wenye akili watazungumza baada ya ligi kuanza sasa hivi mtaumizana vichwa tu. Ila Luc Eymael aliwapatia kweli kuwaita nyie mbwakoko,mnabweka ovyo
Basi tumekubaliana Yanga haina hela ya kuweka kambi nje ya nchi kama simba.Utopolooooo ktk ubora wako. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwaiyo tumekubaliana yanga imeishiwa pesa na huu uzi wako tunautunza vizuri sana, Ligi ikianza autokuwa na nafasi kupanua mdomo wako kusema gsm anatoa bahasha za kaki, mara kambi ya misri aikuwa na tija, Mara hivi mara vile,,jiandae kisaikolojiaZa ndani kuna pande mbili zinavutana,Yanga asili hawapo tena,baada ya engineer kuwa rais, hata press baada ya hapo hazina logo ya Yanga (asili) ni makampuni yanayodhamini tu. GSM wamelalamika kupigwa hela nyingi wakati hakukuwa na ushindani kwa mchezaji aliyesajiliwa wa mwisho.
Kwa vile GSM ana jambo lake kigamboni amekasirika kambi itakuwa pale pale maana hata uturuki na Moro ni upigaji.
Kumbe sope hana nywele kabisa kichwaniHapa ingekuwa simba sijui kama huyu mama chaumbeya tungemponaView attachment 2297293
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Kwa mazingira ya kambi walipo Simba, yaana hata makazi ya wafungwa Yana unafuu. Ila Madam Barbra Mungu anskuona ujue? Si vizurinamna hii, si borangebaki bunju tu
Duu kumbe Demigod ndiyo macho yalivyo !!!!Its so sad yaani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakufa mie.Hapa ingekuwa simba sijui kama huyu mama chaumbeya tungemponaView attachment 2297293
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa jinsi umavyoteseka, naomba tuchange hela ili utopolo iende [emoji1250], uwe na amani.Basi tumekubaliana Yanga haina hela ya kuweka kambi nje ya nchi kama simba.
Ila msimu ukichanganya, hatutaki kusikia tena malalamiko ya aina yotote ile kutoka kwenu. Yawe ni ya kuhusu kambi yenu huko Misri kutokuwa na tija, au ya GSM kuwahonga akina Manula na Onyango, ili kuipa ushindi Yanga.