SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mbona mkizusha nyie mnapeana likes lakini mkizushiwa nyie mayowe mengiii? Wenye akili watazungumza baada ya ligi kuanza sasa hivi mtaumizana vichwa tu. Ila Luc Eymael aliwapatia kweli kuwaita nyie mbwakoko,mnabweka ovyoSasa hivi maneno mengiii! Halafu ligi ikianza, mnaaza kulialia huku mkimshutumu GSM, eti anahonga timu pinzani! Cha kushangaza na timu yenu yenyewe nayo ilifungwa mara mbili ndani ya msimu mmoja!
Kweli Ismail Aden Rage alikuwa na akili za kipekee kwa kuwaita mbumbumbu.