Yanga hawawezi kujaza Taifa

Mechi ya Simba na ASEC uwanja ulijaa? au mnajitoa fahamu
Wewe ndo unataka kujitoa ufahamu, ikiwa unajua wazi kabisa kwasasa kule msimbaz mambo si shwari ila unataka kuweka mizani sawa na uto ambao mpo kwenye form nzuri.

Rejea tu game ya mwisho kati ya mnyama na al ahly ya october 20 aaf ulinganishe na game yenu ya jana na ahly, hapo utaleta majibu mujaarab
 
Bodi ya ligi isha toa takwimu timu ipi inaongoza kwa mapato uwanjani na idadi ya mashabiki kama una takwimu zako binafisi weka hapa
 
Twakimu za bodi ya ligi zinasemaje kuhusu idadi ya mahudhurio viwanjani? au una takwimu zako binafisi
Takwimu za kupika hivi hujui kwamba mo na AZAM ni washindani kibiashara ulitaka bakhresa ampe credit MO wakati yeye mwenyewe anatangaza biashara zake takwimu za kupika kama mlivyoambiwa yanga ni wa 5 Africa mkakubali mmempita mpaka mamelody sundowns na usm alger.
 
Kwa kiwango cha Yanga na muendelezo wa matokeo mazuri ya team yao nilitegemea jana wajae ila imekuwa tofauti na matarajio licha ya majigambo na mwenendo mzuri ila uwanja ulikuwa nusu hakukuwa na sold out.
Wale sio wauza machungwa kama*MBUMBUMBU*
kwamba ikifika saa sita wanafunika matenga.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Uli ishia darasa la ngapi wewe? Azam anahusika nini na bodi ya ligi?
 
Caf pia wametoa tuzo kwa mashabiki wa timu fulani kua ndo mashabiki bora kuliko mashabiki wengine wa timu 7 bora africa, itakuwa wewe ambae hata 20 bora haumo?
Low IQ inakusumbua una amini mashabiki wa [emoji2772] ni bora kuliko mashabiki wa Al Ahly na Wydad?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…