Pettymagambo
JF-Expert Member
- Aug 21, 2017
- 1,490
- 8,227
Wewe ndo unataka kujitoa ufahamu, ikiwa unajua wazi kabisa kwasasa kule msimbaz mambo si shwari ila unataka kuweka mizani sawa na uto ambao mpo kwenye form nzuri.Mechi ya Simba na ASEC uwanja ulijaa? au mnajitoa fahamu
Rejea tu game ya mwisho kati ya mnyama na al ahly ya october 20 aaf ulinganishe na game yenu ya jana na ahly, hapo utaleta majibu mujaarab