Yanga hawawezi kujaza Taifa

Mashabiki wengi wa simba wanakaa Mbagala na viunga vyake sasa kwanini wasijaze uwanja.
 
Nyie mnasemaga humu ni kawaida yenu kujaza uwanja.Sasa sijui unaelewa maana ya neno "kawaida......" Mkashushiwa mpaka elfu 3 wapi,sasa unazani kama ukipigwa na Wydad,mechi inayo fuata na Wydad kingilio si kitakuwa MoXtra na Mche wa sabuni.
 
Wazee wa bure kesho zamu yenu kujaza taifa wapenda dezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…