ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Watu wa[emoji304] mna shida sana mda wote mnawaza kuwekwa tuKaukweke ulale sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wa[emoji304] mna shida sana mda wote mnawaza kuwekwa tuKaukweke ulale sasa.
Mashabiki wengi wa simba wanakaa Mbagala na viunga vyake sasa kwanini wasijaze uwanja.Habari za weekend wadau,
Baada ya kushuhudia kandanda safi taifa jana kati ya yanga na al ahly kwa kiwango cha yanga na muendelezo wa matokeo mazuri ya team yao nilitegemea jana wajae ila imekuwa tofauti na matarajio licha ya majigambo na mwenendo mzuri ila uwanja ulikuwa nusu hakukuwa na sold out na ili wajaze inabidi serikali iingilie kati kwa kugawa tickets za bure.
Wakati simba wanapewa tuzo ya mashabiki bora Africa watu wengi waliongea sana na kusema hawakustahili ila mechi ya jana imedhihirisha yanga hawawezi kujaza taifa bila fungulia mbwa.
Simba kipindi ipo kwenye kiwango kizuri ile mechi kama ya jana wangejaza uwanja na wengine wangebaki nje kwa kukosa nafasi huo ukubwa wenu Africa uko wapi?
Nyie mnasemaga humu ni kawaida yenu kujaza uwanja.Sasa sijui unaelewa maana ya neno "kawaida......" Mkashushiwa mpaka elfu 3 wapi,sasa unazani kama ukipigwa na Wydad,mechi inayo fuata na Wydad kingilio si kitakuwa MoXtra na Mche wa sabuni.Wewe ndo unataka kujitoa ufahamu, ikiwa unajua wazi kabisa kwasasa kule msimbaz mambo si shwari ila unataka kuweka mizani sawa na uto ambao mpo kwenye form nzuri.
Rejea tu game ya mwisho kati ya mnyama na al ahly ya october 20 aaf ulinganishe na game yenu ya jana na ahly, hapo utaleta majibu mujaarab