Yanga hii ni ushindi tu

Yanga hii ni ushindi tu

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Posts
24,314
Reaction score
38,919
Ushindi wa 1-0 pale Arusha uwanja wa sheikh Amri Abeid umezidi kuiweka Yanga kileleni mwa ligi kuu bara na kufikisha points 47.Japokuwa leo kucha wetu mkuu hakuwepo bado tumeshinda.
FB_IMG_1545317692391.jpg
 
Si walisema tutapata tabu sana mikoani sasa inayoshinda mikoani ni yanga au wanabebaga na uwanja wa taifa?
 
Back
Top Bottom