Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Ushindi wa 1-0 pale Arusha uwanja wa sheikh Amri Abeid umezidi kuiweka Yanga kileleni mwa ligi kuu bara na kufikisha points 47.Japokuwa leo kucha wetu mkuu hakuwepo bado tumeshinda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanasonya sonya tu kwenye vibanda umizaYangaaa....hadi raha...
Kuna sehemu nilikaa nikiwa nimetulia huku nikifuatilia mechi,na kulionekana kuna mashabiki kibao wa Simba, wamefchukiszwa sana na Ushindi wa Yanga,hadi naondoka hapo wamekaa makundi makundi kujadili mechi zetu😁😁😁Huu ni moto wa hatari..kaa mbali.
Ligi points siyo kucheza vizuriunaweza usione yanga anachofanya uwanjani, ila dkk 90 zikiisha utawaona yanga wameshikilia point tatu mkononi.
Kuna kuchacha piaMikia FC aka Mnbumbumbu FC watasubiri sana na viporo vyao.
Mzungu atatulia tu baada ya Nkana kufanya yakeKelele tumewachia wale wenye Msemaji mbwabwaji. Yanga inangalia point tatu basi.
Mwisho wa msimu kuhesabu point
Usiseme mzungu sema shahidi wa YehovaMzungu atatulia tu baada ya Nkana kufanya yake
😁😁😁😁Usiseme mzungu sema shahidi wa Yehova