Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Wanasonya sonya tu kwenye vibanda umizaYangaaa....hadi raha...
Kuna sehemu nilikaa nikiwa nimetulia huku nikifuatilia mechi,na kulionekana kuna mashabiki kibao wa Simba, wamefchukiszwa sana na Ushindi wa Yanga,hadi naondoka hapo wamekaa makundi makundi kujadili mechi zetuπππHuu ni moto wa hatari..kaa mbali.
Ligi points siyo kucheza vizuriunaweza usione yanga anachofanya uwanjani, ila dkk 90 zikiisha utawaona yanga wameshikilia point tatu mkononi.
Kuna kuchacha piaMikia FC aka Mnbumbumbu FC watasubiri sana na viporo vyao.
Mzungu atatulia tu baada ya Nkana kufanya yakeKelele tumewachia wale wenye Msemaji mbwabwaji. Yanga inangalia point tatu basi.
Mwisho wa msimu kuhesabu point
Usiseme mzungu sema shahidi wa YehovaMzungu atatulia tu baada ya Nkana kufanya yake
ππππUsiseme mzungu sema shahidi wa Yehova