Yanga hii...

Mnaosema ngoja aanze kutoka nje mkumbuke maneno yenu msije mkayakataa pia mlianza kusema ni mwanzo wa ligi/ligi bado mbichi pia msije sahau kusema pindi ligi imeisha iva mtasubiri ligi iive wakati yanga anaona ligi ndo inaoza ikiwa mikononi mwake
 
Usajili wetu ulikuwa wakuungaunga na jamaa walituita omba omba lakini Mungu mkubwa, timu inafanya vema! Na inshallah tutachukua kombe letu!
Ligi ina mechi 38, timu imeshakata pumzi tayari kama nimfuatilia mzuri wa mechi za kandambili!
 
Yanga wameamua wasiwe wapayukaji.
Wafadhili wapo na hata magoli ya Yanga ni quality sana, siyo mikia hata sijui wanafungaje.
Mikia wameamua kuhonga, mpira pale hakuna, they are too old.
 
Aisee unachekesha kulinganisha yanga na mtibwa hali ukijua yanga amekosa ubingwa mwaka jana baada ya kuchukua mfululizo huku timu inayo kupa kiburi ilisubiri 5yrs.
 
Sisi Mikia mbumbumbu tunakesha tukiroga ili Yanga ifungwe lakini wapi sijui tunakwama wapi.
Yaani mwanangu kama ulikuwa hapa nyumbani vile. Kutwa kucha, fedha lukuki zinaenda kwa mlozi. Tuiue Yanga tu. Sasa, baada ya Yanga kufa, wewe mkia umefaidi nini?? Mpira wako mwisho jangwani?? Leteni basi kombe nje ya jangwani.
Nawadharau sana mikia. Pesa mnazosema mnazo ni za kuwanunua wachezaji wa Yanga na Azam tu au?? Tokeni nje mkatazame huko Ghana, Nigeria, Liberia na kwingineko kwenye mipira mbadili sura ya mpira bongo.
 
Yanga wameamua wasiwe wapayukaji.
Wafadhili wapo na hata magoli ya Yanga ni quality sana, siyo mikia hata sijui wanafungaje.
Mikia wameamua kuhonga, mpira pale hakuna, they are too old.
Kuna haja Serikali kujenga matawi ya milembe kila wilaya.
 
hii timu ya magazetini tu juzi kmc wamewatoa jasho ngoja wacheze na azam labda wapaki tren ila sio ubingwa hata nafasi ya pili wasahau
 
Sentensi ya mwisho haina uhusiano na ulichoandika,ligi ndiyo kwanza iko mechi ya kumi bado mechi kama 28 tayari umeanza kucheka je kibao kikigeuka mwishoni na timu nyingine zikafanya vizuri kuliko yanga hapo nani atacheka mwishoni
 
Sentensi ya mwisho haina uhusiano na ulichoandika,ligi ndiyo kwanza iko mechi ya kumi bado mechi kama 28 tayari umeanza kucheka je kibao kikigeuka mwishoni na timu nyingine zikafanya vizuri kuliko yanga hapo nani atacheka mwishoni
Jaalia mimi ni Yanga kama udhaniavyo kwa sababu tu maoni yangu yametokea kutowapendeza wapenzi wa Simba. Una uhakika gani kwamba mimi ni miongoni mwa walioanza kufurahia? Haiwezekani kwamba sentensi hiyo, kwa kujaalia mimi ni Yanga kama unavyohisi, inawaonya Yanga wenzangu wasianze kufurahia? Unapovuka barabara ya njia moja, angalia pande zote mbili kwanza. Usijihakikishie usalama kwa kuangalia upande mmoja tu, unaweza ukasombwa hata na mkokoteni unaotokea upande mwengine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…