Yanga hii...

Ondoa Tshishimbi,ondoa Kamusoko timu itakuwa hatari zaidi
 
hii timu ya magazetini tu juzi kmc wamewatoa jasho ngoja wacheze na azam labda wapaki tren ila sio ubingwa hata nafasi ya pili wasahau
Mmeachana na simba mmeanza azam tena, akifungwa huyo azam ama droo matumaini mtaelekeza timu gani nyingine?
 
Kale ka benchi kao ka ufundi ila ngoja waanze safari za mikoani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…