Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeachana na simba mmeanza azam tena, akifungwa huyo azam ama droo matumaini mtaelekeza timu gani nyingine?hii timu ya magazetini tu juzi kmc wamewatoa jasho ngoja wacheze na azam labda wapaki tren ila sio ubingwa hata nafasi ya pili wasahau
Wameisha kata tamaa simba kuifunga yanga wamehamia azam ngoja wafungwe nako sijui watahamia timu ipiMbumbumbu wameshaanza kuleta umbumbumbu wao
Ni fireeeee,hata waidharau
Mara ooh timu haina hela
Naipenda yanga.