shwaibually
Member
- Jan 7, 2017
- 8
- 3
Na bado kwa mnyama tu wakikutana na yanga watapigwa mengi kama mvua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si kweli MAWAZO yako Azam alishapita alikuwa na point 4 zimamoto 3 JAMHURI 1 hivyo yanga na azam ilikuwa ni kutafuta Namba moja na kukamilisha ratiba acha kudanganya kuwa mmewàachia.Mimi Yanga damu na kwa hiki walichofanya Yanga kimenikera sana. Kila group zinatakiwa ziende timu mbili. Na hali ya azam ilikuwa mbaya sana kama angefungwa na Yanga sababu alikuwa atoke. Kama zimamoto Au jamhuri sina uhakika vizuri ila mmoja kati ya hao angeshinda mechi yake.
Hivyo Hawa wehu wameamua kuipa Azam matokeo tena ya goli nyingi ilikuiweka katika nafasi ya kutinga nusu fainali.
Waandaji malengo yao ilikuwa ni kundi la kwanza simba na URA zipite na kundi jingine Yanga na Azam zipite. Ila kwa azam kwa kuwa na timu mbovu malengo yao yalikuwa yasitimie hivyo wakaamua kufanya match fixing.
Ni kitendo cha kukera sana na inatakiwa kikemewe kwa Nguvu zote. Naipenda Yanga ila kwa hili wametudhalilisha sana.
CC: Guasa Amboni , nasmapesa , Balantanda , Nifah na wengineo
Nimeitazama match mwanzo mwisho. Nilikuwa sielewi sababu hasa ya wakenya kujitoa kwenye mashindano haya. Lakini kwa kitendo kilichofanywa jana, nakubaliana nao. Halafu pia mashindano ya mapinduzi cup yameshuka hadhi kabisa. Hayana umuhimu tena. Kama waganda wataendelea kushiriki mashindano haya, basi ni sababu ya njaa. Timu za Zbar zimepigana kutafuta kuingia nusu fainali halafu wengine wanapanga kuzitoa! Kweli kabisa timu zote za Zbar zinastahili kujitoa kwenye mashindano haya wawaachie timu pendwa. Aibu kubwa sanaMimi Yanga damu na kwa hiki walichofanya Yanga kimenikera sana. Kila group zinatakiwa ziende timu mbili. Na hali ya azam ilikuwa mbaya sana kama angefungwa na Yanga sababu alikuwa atoke. Kama zimamoto Au jamhuri sina uhakika vizuri ila mmoja kati ya hao angeshinda mechi yake.
Hivyo Hawa wehu wameamua kuipa Azam matokeo tena ya goli nyingi ilikuiweka katika nafasi ya kutinga nusu fainali.
Waandaji malengo yao ilikuwa ni kundi la kwanza simba na URA zipite na kundi jingine Yanga na Azam zipite. Ila kwa azam kwa kuwa na timu mbovu malengo yao yalikuwa yasitimie hivyo wakaamua kufanya match fixing.
Ni kitendo cha kukera sana na inatakiwa kikemewe kwa Nguvu zote. Naipenda Yanga ila kwa hili wametudhalilisha sana.
CC: Guasa Amboni , nasmapesa , Balantanda , Nifah na wengineo
Huna lolote umepigwa 4G unaanza kuneng'eneka, mbona uliposhinda 6 mbona hukueleza hayo?Nimeitazama match mwanzo mwisho. Nilikuwa sielewi sababu hasa ya wakenya kujitoa kwenye mashindano haya. Lakini kwa kitendo kilichofanywa jana, nakubaliana nao. Halafu pia mashindano ya mapinduzi cup yameshuka hadhi kabisa. Hayana umuhimu tena. Kama waganda wataendelea kushiriki mashindano haya, basi ni sababu ya njaa. Timu za Zbar zimepigana kutafuta kuingia nusu fainali halafu wengine wanapanga kuzitoa! Kweli kabisa timu zote za Zbar zinastahili kujitoa kwenye mashindano haya wawaachie timu pendwa. Aibu kubwa sana

Dah aisee.. Afadhali umejitokeza maana wenzako wamegoma kwenye jukwaa baada ya kupewa 4GJamani tuacheni, tuna mipango yetu...kuna mtu tunamuwinda akikaa kwenye 18 ndio mtatuelewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo wavimba macho hutawaona hata mmoja. Simba akitoa droo wanajazana hapa tunakosa hata nafasi ya kuandika. Leo wamepigwa ARBA hutawaona migongo wazi hata mmoja. Wameifunga Jamhuri tukasikia ohh tumetoa adhabu kali. Leo kipa wa Azam kipindi cha kwanza angeweza kwenda kunywa kahawa.Kipindi cha pili kadaka mara mbili. Kama sio huruma za refa ingekuwa KHAMSA. Nadhani sasa akili zitarudi na Kocha namwonea huruma kwani kufundisha FISI kupanda mti inatakiwa uwe na subira kweli kweli.
Hivi second half iliishaje vile[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha mbwembwe subiri second half
Unajua nini Kaabah , ukiona timu kubwa imeifunga timu nyingine kubwa mabao mengi basi hiyo si mechi iliyoamuliwa kwa uwezo wa timu bali kuna mtu kaotewa.Dah aisee.. Afadhali umejitokeza maana wenzako wamegoma kwenye jukwaa baada ya kupewa 4G
Mkuu wewe huna uwezo kuzifunga timu kubwa goli nyingi utasubiri sana
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nasubiria kwa hamu taarifa ya habari Leo pale Hemed kivuyo atapokuwa akiripot kutoka visiwani,utasikia nne kwa suuuufuuriii hahahaaaa
Bwihi..!Yanga ni Team ya hapa ligi ya bongo na marefa wao tu hikitoka hapa bongo ni mlenda tu