Nimemskia commentator anasema lile goli linaitwa: MAMA MKANYE MWANAO.Goli la mahundi si mchezo
Hahaaaa asirudie tena,bao sukariNimemskia commentator anasema lile goli linaitwa: MAMA MKANYE MWANAO.
Kweli. Aliongezea kwa kusema BAO SUKARI.Hahaaaa asirudie tena,bao sukari
Juice chachu nani anyweMbona mmekimbia juice[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lakini koni mmelamba.Juice chachu nani anywe
Pole kwa kupukuchuliwaHaya bhana
Mkuu we jua tu magoli ni mengi,hapatoshi kuandika humu,nafasi haitoshiWakuu tuambieni basi ngapi ngapi?
Duh! Eeee bhana eeee !!!!
nimekumisi