Hujakosea?Sio azam 2 yanga 6???mana hawa wazee wa 6Azam 2- yanga 0 hadi sasa
Hakuna cha mkata umeme wala nini mkuu , tubasubiri magoli mengine matatu ili kukamilisha mkono wa binadamu .Mkata umeme aka kishoka hachezi nini
Hivi yanga walivyokuwa wanashinda we ulidhani ni ubora wa mpira?Sishabikii mpira wa bongo mwaka huu ni upuuzi mtupu ww jiulize timu ipo vizuri inafungwa na timu isiokuwa vizuri si ufala huu ss subirin mkutane na simba
AIBU..Kwani matokeo yakiwa hivi inakuwaje
hahahahahahah 3subiri kipindi cha tatu.Acha mbwembwe subiri second half