Yanga hoi kwa Azam, yasambaratishwa magoli manne bila majibu

Yanga hoi kwa Azam, yasambaratishwa magoli manne bila majibu

Sishabikii mpira wa bongo mwaka huu ni upuuzi mtupu ww jiulize timu ipo vizuri inafungwa na timu isiokuwa vizuri si ufala huu ss subirin mkutane na simba
 
Watu tulishabeti yanga analishwa za kutoshaa iko obvious, nitashangaa kama Azam atafungwa.
Hamna cha kushangaa hapo ndala kufungwa.
 
Watu walianza kumshambulia mleta mada eti hajui mpira, tukakaa kimya wanaojua mpira hadisie, ila naona wako kimya. Na mimi timu ya wasiojua mpira nasema mpaka dakika ya 75 yanga hawajafanya shambulizi lolote la maana langoni mwa Azamu, Yanga bila Ngoma huitwa Yaga.
 
Back
Top Bottom