Yanga hoi kwa Azam, yasambaratishwa magoli manne bila majibu

Kwanini tulikubali kushiliki kombe la 'mbuzi' anyway najua tutakutana fainali
 
Leo wavimba macho hutawaona hata mmoja. Simba akitoa droo wanajazana hapa tunakosa hata nafasi ya kuandika. Leo wamepigwa ARBA hutawaona migongo wazi hata mmoja. Wameifunga Jamhuri tukasikia ohh tumetoa adhabu kali. Leo kipa wa Azam kipindi cha kwanza angeweza kwenda kunywa kahawa.Kipindi cha pili kadaka mara mbili. Kama sio huruma za refa ingekuwa KHAMSA. Nadhani sasa akili zitarudi na Kocha namwonea huruma kwani kufundisha FISI kupanda mti inatakiwa uwe na subira kweli kweli.
 
MSICHOAMINI NI KWAMBA YANGA NDIO ATATWAA UBINGWA HUO AMIN NAWAAMBIA.
 
hahahahahaha! sio mbaya. tulikuwa mazoezini tu! bt mwosha huoshwa, hongera azam fc
 
Kwani Martin saanya hakuwepo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bila mipango Vyura FC ni ngumu sana kupata matokeo
 
Weekend yangu inamalizika vizuri, asante Azam fc umejua kuwanyoosha watu!! Azam tu mmepigwa nne mkikutana na simba mtapigwa 8 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…