Yanga hoi kwa Azam, yasambaratishwa magoli manne bila majibu

Yanga hoi kwa Azam, yasambaratishwa magoli manne bila majibu

7c1bbface257d5b413c2c4c2c0e1bbaa.jpg
kocha wa Yanga.
 
Tungemfunga Azam mngesema Yanga imemuogopa Simba.
 
Kisago cha leo cha 4 o'clock hawatakaa waje wasahau, hili litimu misifa mingi bila mpango, asante Azam FC
 
Leo wavimba macho hutawaona hata mmoja. Simba akitoa droo wanajazana hapa tunakosa hata nafasi ya kuandika. Leo wamepigwa ARBA hutawaona migongo wazi hata mmoja. Wameifunga Jamhuri tukasikia ohh tumetoa adhabu kali. Leo kipa wa Azam kipindi cha kwanza angeweza kwenda kunywa kahawa.Kipindi cha pili kadaka mara mbili. Kama sio huruma za refa ingekuwa KHAMSA. Nadhani sasa akili zitarudi na Kocha namwonea huruma kwani kufundisha FISI kupanda mti inatakiwa uwe na subira kweli kweli.
hali ngumu mkuu,tumekamatwa kila kona ILA jiandae
 
Bwihi..! Bwihi..!

Tunawaambia siku zote nyinyi soka bado.. Mwafaaa..

demigod, Sibonike..
 
Back
Top Bottom