Yanga hoi kwa Azam, yasambaratishwa magoli manne bila majibu

Yanga hoi kwa Azam, yasambaratishwa magoli manne bila majibu

What's the https://jamii.app/JFUserGuide Yanga
 
Mm nawasiwasi yawezekana Azam nae kanunua kwa ndala kama ndala walivyo nunua kwa jamhuri
 
Kwani ni mashindano gani hayo wakuu maana km premier yanga huwa hachezagi uck nijulishen tafadhali.
 
Yanga kajileta mwenyewe mdomoni mwa Simba.

Baada ya azamu ni zamu yetu sasa!
 
Back
Top Bottom