Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Apr 27, 2023 #41 DullyJr said: kwani unaumia sana???????Ukiweka wewe kuna ubaya gani?????punguza miwasho ya harara na sabuni hii inaitwa KIBUDENGA MKANDAJIView attachment 2601063 Click to expand... Ni utaratibu tu wa kupashana habari mkuu kuwa ukinakili mahali unaweka chanzo... Hakuna haja ya kuanza kutukanana maana hatuna kasumba ya kutukanana kwenye jukwaa la michezo...
DullyJr said: kwani unaumia sana???????Ukiweka wewe kuna ubaya gani?????punguza miwasho ya harara na sabuni hii inaitwa KIBUDENGA MKANDAJIView attachment 2601063 Click to expand... Ni utaratibu tu wa kupashana habari mkuu kuwa ukinakili mahali unaweka chanzo... Hakuna haja ya kuanza kutukanana maana hatuna kasumba ya kutukanana kwenye jukwaa la michezo...
DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,983 Reaction score 11,857 Apr 27, 2023 Thread starter #42 Watu8 said: Ni utaratibu tu wa kupashana habari mkuu kuwa ukinakili mahali unaweka chanzo... Hakuna haja ya kuanza kutukanana maana hatuna kasumba ya kutukanana kwenye jukwaa la michezo... Click to expand... Weka/bold tusi ulilotukanwa hapa.........itakuwa vema zaidi mkuu..... Huu ni utani kama utani mwingine sasa inaonekana kama wewe umekuuma zaidi umeamua kutoka nje ya mada iliyopo mezani, Utopolo mna shida sana
Watu8 said: Ni utaratibu tu wa kupashana habari mkuu kuwa ukinakili mahali unaweka chanzo... Hakuna haja ya kuanza kutukanana maana hatuna kasumba ya kutukanana kwenye jukwaa la michezo... Click to expand... Weka/bold tusi ulilotukanwa hapa.........itakuwa vema zaidi mkuu..... Huu ni utani kama utani mwingine sasa inaonekana kama wewe umekuuma zaidi umeamua kutoka nje ya mada iliyopo mezani, Utopolo mna shida sana
TAI DUME JF-Expert Member Joined Feb 20, 2014 Posts 9,748 Reaction score 26,238 Apr 27, 2023 #43 WAKANDWAJI AKA WAZEE WA KUKANDWA. Wamejipa wao wenyewe.
B balegu senior New Member Joined Aug 4, 2016 Posts 1 Reaction score 0 Apr 27, 2023 #44 Je? WANANCHI ni jina jipya au
DullyJr JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 13,983 Reaction score 11,857 Apr 28, 2023 Thread starter #45 TAI DUME said: WAKANDWAJI AKA WAZEE WA KUKANDWA. Wamejipa wao wenyewe. Click to expand... Wakandwaji fc[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
TAI DUME said: WAKANDWAJI AKA WAZEE WA KUKANDWA. Wamejipa wao wenyewe. Click to expand... Wakandwaji fc[emoji1787][emoji1787][emoji1787]