Yanga huu ni utani wa ngumi

kluger

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
2,093
Reaction score
1,899
Waslaam !

Jana timu ya Simba iliaga mashindano huko Zanzibar, kwa wapenzi wa simba tunaoelewa mpira hatulaumu sana kwani huo ndiyo mpira lakini pia kwa sababu za kiufundi tunajua kocha ni mpya na anatest mifumo na wachezaji wapya tofauti.

Tatizo ni taarifa ya kabla kabla ya mashindano ni vyema kutoa mpango wa klabu kwenye mashindano husika na si kukaa kimya mpaka matokeo tata yatokee ndipo waanze utetezi.
Mfano, kabla ya kwenda Zanzibar kama wangesema timu inaenda kushiriki mashindano lakini mpango ni kuunda kikosi chini ya kocha mpya na si ubingwa, sisi wapenzi wa timu wengi tungeelewa.

Sasa ona fedheha hizi za YANGA kwnye hii video hapa chini, huyu jamaa aliyevaa jezi za simba ni Yanga damu damu, ila alivaa jezi hizi baada ya matokeo na kuigiza hivyo, huu utani wapinzani mtambue si mzuri .
 

Attachments

Yaani Azam wana dharau sana wanakuuzia Kapombe, Nyoni , Boko ,Manura bado wanakufunga
 
Poleni sana, mtajaribu sana vikosi mwaka huu na hakuna ubingwa mtaoupata.

Kwani Jamaa ana alama gani inayomuonesha kuwa ni shabiki wa Yanga?
Nafahamiana naye, vp naona mpo kimya sasa toka turudi kwny ligi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…