Yanga huu Ujinga na Upuuzi tuache. Watoto na Wajukuu wetu si watatushangaa?

Watani kwa kweli wanasikitisha sana, yaaani Yanga amebaki mzee Akilimali tuu ndio mwenye akili, ingawaje wenyewe ndio wanamuona adui wao namba moja kichekesho kweli kweli.
 
Hivi ile yanga ya kuchapana bakora imeishia wapi maana sasa hivi kuna watu wanajifanya wana uchungu Wa timu kumbe wamezimiss pesa za Kanji.MTU keshasema hataki uongozi lakini bado kuna watu wanamng'ang'ania hawa wanahitaji watiwe mikwaju
 
manji alitaka kukodi team,na si kununua . kuna tofaut ya kununua na kukodi. na akina akili mali walisema wao hawapo tayari kukodisha team ya yanga kwa manji kama wanavyokodisha masufuria.

hili tuliweke sawa kwenye hansard.

Na kwasababu ya historia ya Club na ukongwe wake si busara kuiuza hii club kwa mtu mmoja... ndio maana Manji akaja na wazo la kuikodi ili kama hafanyi vizuri ni bora kuirudisha kwa wanachama kukodiwa ni zuri zaidi kuliko kuuzwa... Yule mzee Akilimali anachumia tumbo ndio maana hataki maendeleo ya club
 
Unaikodi klabu na kuifanya kampuni inayoitwa Yanga Yetu Co. LTD.
Ukiirudisha itabadilisha jina?
 
Hilo jambo la kulia lia kwa Manji linakera sana,baada ya kupenya penya kuuliza why ivyo kuna mtu akaniambia Manji mwenyewe ndo anatengeneza hao watu na anaitaka team but kuna mbinu anajipanga nazo (not sure)
 
Inawezekana. Manji ni Mjanja sana. Anajua manufaa ya team ni makubwa sema anataka kuipata kihuni. Anachofanya ni kuwatengenezea uhitaji mkubwa. Ili wakimfuata awapige kirahisi sana maana hawataweza kuhoji vizuria.

Daah ila siamini kama hakuna watu wa kuichukua Yanga, nahisi Manji mwenyewe ndo anawatengeneza hao wajinga cos mara nyingi amekuwa akifanya ivyo
Anawatengeneza ili apate faida gani, angekuwa anataka uenyekiti si angegombea?
 
Inawezekana. Manji ni Mjanja sana. Anajua manufaa ya team ni makubwa sema anataka kuipata kihuni. Anachofanya ni kuwatengenezea uhitaji mkubwa. Ili wakimfuata awapige kirahisi sana maana hawataweza kuhoji vizuria.
Ndiyo hata mm nalipoakmbiwa ivyo nikaona inasound cos sioni sababu ya msingi kumlilia mtu asiyetaka jambo
 
Inawezekana. Manji ni Mjanja sana. Anajua manufaa ya team ni makubwa sema anataka kuipata kihuni. Anachofanya ni kuwatengenezea uhitaji mkubwa. Ili wakimfuata awapige kirahisi sana maana hawataweza kuhoji vizuria.
Hapa ndipo msingi wa hoja ulipo ,na hili niliwahi kumwambia mh mbunge wa chalinze juu ya huyu mhindi
 
wewe hujui kabisa faida ya kuwa na yanga kiuchumi . yanga ni biashara kubwa sana ukiwa tu na mtaji sahihi ambao manji anao. unadhani yanga ina wanachama wangapi,mashabiki wangapi?wapenzi ? unadhani jina la yanga ni dogo kibiashara? usidhani manji alikuwa anatoa tu pesa zake yeye haingiizi kitu. na mitanzania mingi miswahili inafikiria hivyo kuwa manji alikuwa anatoa tu pesa sababu ana mapenzi na yanga. asikudanganye mtu ile ni fursa ambayo alitaka kujijengea pia kisiasa na kiuchumi. kisiasa imeshashindikana labda ibaki sasa kiuchumi.

Anawatengeneza ili apate faida gani, angekuwa anataka uenyekiti si angegombea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…