Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu tambueni ni kweli Yanga wanamlilia sana Manji ili awasaidie kuvuka hapa pia kujenga mfumo bora... hizi club ni kongwe lakini hazina kitu zaidi ya mtaji wa watu ambao hawana msaada ndani ya club pia hawajitambui
Ndio maana nasema ni lazima apatikane tajiri mmoja ambae atatumia pesa zake katika kujenga mfumo ilikurudisha imani kwa wanachama bcz kuandaa mfumo wenywe ni pesa sasa wanachama hawaoni mtu mwingine ambae anaweza kukopesha pesa
zake ili kusaidia kuijenga Yanga zaidi ya Manji.
Kumbukeni kwa sasa hata kama Club itapata viongozi wote bila ya kuwa na pesa hawezi kusaidia kitu. Club haitaji viongozi wote kawamilike inaitaji pesa ilikufanya mfumo ukamilike...
Ndio maana Unaona Azam ina mtu kwenye pesa then viongozi wanakuja baadaye... Singida ina mtu ambaye anapesa na ushawishi then club inaenda poa somehow...
Simba walimsumbua Mo kwa mlango wa nyuma then akaja na bei yake ya kununua Simba then wanachama bila ku evaluate kawa kubali bcz hawajui thamani ya club yao ingawa walitokea wakina Mzee kilomoni na wengine lakini kwa sababu walipata funzo kutoka kwa Yanga wakawazidi keti na kumpa club Mo na sasa matokeo wanayaona
Huku Yanga walikubali kumpa kwa mkataba Manji wakatokea Watu ambao hawepi maendeleo ya Yanga kawapinga na kuenda mahakamani hao ni wakina Akilimani na wenzie then Tajiri akagoma baada ya kuna pigamizi
Leo akitokea Tajiri anataka kuinunua Yanga na akiwa na pesa utaona wanachama wanamuacha Manji ana kwenda kwa huyo Tajiri bcz wanajua atawasaidia kuibeba. Leo mnataka Viongozi then watu wenyewe wa kuchanguliwa ni wakina Tarimba, Akilimali ambao ambao hawana uwezo wa kutoa pesa kwa ajili ya club. Mfano wakati club inaangaika kumsajili Yondani waliombwa mchango then Tarimba alitoa 2m tuuh lakini kwenye media ajitamba kuwa amemsajili Kelvin .
manji alitaka kukodi team,na si kununua . kuna tofaut ya kununua na kukodi. na akina akili mali walisema wao hawapo tayari kukodisha team ya yanga kwa manji kama wanavyokodisha masufuria.
hili tuliweke sawa kwenye hansard.
Unaikodi klabu na kuifanya kampuni inayoitwa Yanga Yetu Co. LTD.Na kwasababu ya historia ya Club na ukongwe wake si busara kuiuza hii club kwa mtu mmoja... ndio maana Manji akaja na wazo la kuikodi ili kama hafanyi vizuri ni bora kuirudisha kwa wanachama kukodiwa ni zuri zaidi kuliko kuuzwa... Yule mzee Akilimali anachumia tumbo ndio maana hataki maendeleo ya club
Hilo jambo la kulia lia kwa Manji linakera sana,baada ya kupenya penya kuuliza why ivyo kuna mtu akaniambia Manji mwenyewe ndo anatengeneza hao watu na anaitaka team but kuna mbinu anajipanga nazo (not sure)Nmesikitika sana na tabia za kipuuzi na kijinga walizoonesha wanayanga.huu ni ubwege. Manji hataki kuwa mwenyekiti.nyie wanaume mnawezaje lazimisha kuwa ninyi bado mnamtambua na mnalazimisha?
Nyie mna akili kweli?njaa hii njaa gani?nyie ndo nmeona mnasababisha kuwe na wanaume siyo riziki.kweli huu siyo uriziki na utimamu wa kiume. Ni sawa na mwanamke ambaye amepewa talaka anasema yeye haondoki hata iweje...analia na kushika miguu abaki hata awe analala uani. Badala ya kukaa na kujipanga mnamlilia manji?nyie mna akili kweli?
Usiamini ya kuambiwa mpaka uone mwenyewe.
Hilo jambo la kulia lia kwa Manji linakera sana,baada ya kupenya penya kuuliza why ivyo kuna mtu akaniambia Manji mwenyewe ndo anatengeneza hao watu na anaitaka team but kuna mbinu anajipanga nazo (not sure)
Anawatengeneza ili apate faida gani, angekuwa anataka uenyekiti si angegombea?Daah ila siamini kama hakuna watu wa kuichukua Yanga, nahisi Manji mwenyewe ndo anawatengeneza hao wajinga cos mara nyingi amekuwa akifanya ivyo
Ndiyo hata mm nalipoakmbiwa ivyo nikaona inasound cos sioni sababu ya msingi kumlilia mtu asiyetaka jamboInawezekana. Manji ni Mjanja sana. Anajua manufaa ya team ni makubwa sema anataka kuipata kihuni. Anachofanya ni kuwatengenezea uhitaji mkubwa. Ili wakimfuata awapige kirahisi sana maana hawataweza kuhoji vizuria.
Hapa ndipo msingi wa hoja ulipo ,na hili niliwahi kumwambia mh mbunge wa chalinze juu ya huyu mhindiInawezekana. Manji ni Mjanja sana. Anajua manufaa ya team ni makubwa sema anataka kuipata kihuni. Anachofanya ni kuwatengenezea uhitaji mkubwa. Ili wakimfuata awapige kirahisi sana maana hawataweza kuhoji vizuria.
Anawatengeneza ili apate faida gani, angekuwa anataka uenyekiti si angegombea?