Kusema kweli inatia aibu klabu kubwa kama Yanga kuwekeza muda na rasilimali kubwa kwenye propaganda za mitandaoni.
Yanga inawatumia wale wanaojulikana kama wachambuzi kusambaza hizo propaganda.
Badala ya kutumia fedha nyingi kwa hawa wachambuzi kuwasifia GSM wajikite kwenye kuweka mambo sawa kwenye uongozi.
Sasa hivi Yanga haina kiongozi mkuu yani vurugu tupu.
Senzo anaongea, Haji Mfikirwa anaongea, Bumbuli anaongea, Msukule unaongea kule Profesa Nabi anaongea.
Msolwa anaongea pembeni yani ni vurugu tupu. Utopolo Administration
Hebu rudini nyuma na muweke mambo sawa ya kiutawala ama sivyo itakua ngumu kupambana na hii Simba ambayo inajiendesha kisasa na kiuweledi.
Badilikeni mapema