Yanga ibezwe lakini Etoile du Sahel watatoka vichwa chini

Yanga sijui wamekula maharage ya wapi wale !!!
 
Tungempata striker anaeforce magoli kama Thomas ulimwengu tungekuwa vizuri zaidi. Ni wakati wa viongozi kuliona hilo na kulifanyia kazi maana mastrike tulionao ni wazuri wanafunga ila sio wale wa kuforce magoli
 
Kwani mmezuiwa kumsajili huyo ulimwengu?
 
Si lazima tumsajili ulimwengu maana wapo wachezaji wengi tu wa aina yake uongozi ndo utaamua nini cha kufanya baada ya kuona hilo
 
Hayaa asante
Sasa unaweza ukalala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…