Yanga ibezwe lakini Etoile du Sahel watatoka vichwa chini

Yanga ibezwe lakini Etoile du Sahel watatoka vichwa chini

Tungempata striker anaeforce magoli kama Thomas ulimwengu tungekuwa vizuri zaidi. Ni wakati wa viongozi kuliona hilo na kulifanyia kazi maana mastrike tulionao ni wazuri wanafunga ila sio wale wa kuforce magoli
 
Kwani mmezuiwa kumsajili huyo ulimwengu?
 
Si lazima tumsajili ulimwengu maana wapo wachezaji wengi tu wa aina yake uongozi ndo utaamua nini cha kufanya baada ya kuona hilo
 
Yanga hii ni tofauti na imekamilika kila idara. Haina nia wala sababu ya kufungwa jijini Tunis,Tunisia. Yanga ina kikosi imara na wachezaji wenye ari na wasiotishwa na historia. Yanga hii itaitoa kidedea Tanzania kisoka kimataifa kuanzia mwaka huu.

Leo Yanga imetwaa ubingwa wa VPL kwa mara ya 25. Ubingwa huu utakuwa chachu kwa Yanga kupambana na kujipaisha zaidi. Etoile du Sahel anafungika na hana upekee wowote kisoka ambao Yanga hawezi kuwa nao.

Yanga itawaumbua wakosoaji wake kwenye mechi ya marudiano. Etoile watatoka vichwa chini wasiamini matokeo. Yanga hawajafungwa Taifa na inahitaji sare ya magoli tu kusonga. Yatatokea yaliyotokea kwa Chelsea dhidi ya PSG katika UCL

Hayaa asante
Sasa unaweza ukalala
 
Back
Top Bottom