Achana na habari ya kushuka daraja, lakini performance ya hawa Gallants ni moto, wako vizuri sana. Kama kuna watu weshuhudia game ya jana kati ya Pyramid dhidi ya Al Ahly wataona moto wa pyramid ulivyo. Binafsi niliona kama pyramid pengine wameshuka kiwango hadi kupelekea kutolewa na Marumo Gallants lakini ukweli ni kwamba ubora wa Gallants upo juu haswa.
Yanga wajitajidi waimalize hii mechi hapa hapa Dar, hii timu sio ya mchezo mchezo pamoja na kushuka daraja huko kwenye ligi yao, wasije kuidharau kisa inashuka daraja