Baada ya kuwaandikia FIFA barua, pia susieni kuingia uwanjani kuangalia mechi za Yanga na kununua jezi zake za msimu huuHuyu Msomali Eng Hersi ameivuruga kabisa Yanga! Hapaswi kuendelea kuwa madarakani!
Mimi ni mpenzi wa Yanga lakini nimechukizwa sana kwa club hii kujihusisha na mambo ya siasa!
Kwamba kwa kuwa Yanga ilishiriki katika kupigania Uhuru wa Tanganyika siyo sababu ya kujihusisha na mambo ya siasa!
Eng. Herse anatumia Yanga kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa, kwa hiyo natoa wito kwa wapenzi wote wa soka kupinga vikali kitendo hicho.
Huyu Msomali Eng. Herse anapaswa kufukuzwa katika uongozi. Aidha natoa wito kwa wapenzi wote wa soka kupiga kelele hadi Yanga ifungiwe na FIFA kushiriki mashindano yo yote ya kimataifa ili iwe fundisho kwa vilabu vingine duniani!
View attachment 3440009
pole yanga na ccm wana symbiotic relationship,ukuona vipi we jiondoe tu yangaMimi ni mpenzi wa Yanga lakini nimechukizwa sana kwa club hii kujihusisha na mambo ya siasa!
Kwamba kwa kuwa Yanga ilishiriki katika kupigania Uhuru wa Tanganyika siyo sababu ya kujihusisha na mambo ya siasa!
Eng. Herse anatumia Yanga kwa maslahi yake binafsi ya kisiasa, kwa hiyo natoa wito kwa wapenzi wote wa soka kupinga vikali kitendo hicho.
Huyu Msomali Eng. Herse anapaswa kufukuzwa katika uongozi. Aidha natoa wito kwa wapenzi wote wa soka kupiga kelele hadi Yanga ifungiwe na FIFA kushiriki mashindano yo yote ya kimataifa ili iwe fundisho kwa vilabu vingine duniani!
View attachment 3440009
Subiri rungu lajaWaandikie FIFA barua ambatanisha na ushahidi wa tuhuma zako kisha tafuta wakili msomi mahiri mithili ya Tundu Lissu au Kibatala asimamie shoo.
Kanuni zipo zifuatwe Yanga wafungiwe misimu kadha na sisi mashabiki tutaunga mkono!
nomeona kanuni zinapitishwa sasa siwezi kusema kama ni za jweli au laa,pili hizo kanuni hazina locus standiHoja ni kuwa wamekiuka kanuni za FIFA hivyo wanastahili adhabu kali bila huruma!
Kwa nini unaamini katika vurugu badala ya majadiliano?