Yanga ijifunze kutokana na mkwamo wa simba

Mulamu Ng'ambi alihojiwa efm na alikuwa mjumbe wa kamati ya kubadilisha mfumo na aliulizwa kama wakati wanafanya mchakato walikuwa wanajua thamani ya Simba akasema hawakujua.
Hivi unafahamu thamani ya timu inapatikanaje? Unajua kuhusu fanbase? Pan Wana jengo pale kariakoo lakini fanbase ya Pan ikoje ndio maana mchakato ulitakiwa uhusishe wataalamu wakiwemo wa soko la hisa na kampuni za kihasibu zenye uzoefu wa kufanya mchakato inayofanana na hiyo
 
Brother kwa hii thread nimeelewa vizuri sana, na hii si kwenye football tu bali ni kwenye masuala yote ya kibiashara

Mo ni msomi sana na wala hana makosa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…