Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Edit apo kwanza no.6/7 Mukoko.Habari ndugu zangu,,Mimi Kama shabiki wa mpira,mwananchi..Kama professor ataanza na kikosi hiki,,Simba Sc watapata tabu Sana...
1: diara
2:djuma
3: Bryson
4:Mwamnyeto au dick Job
5:Bangala..
6:Mukoko
7:Mukoko
8:Aucho
9:Mayele
10:feisal salum "fei Toto" MAESTRO
11: SAIDO
Nasubiri shabiki wa makolo ashuke kikosi chake Cha ushindi...
Simba 3 yanga 0Habari ndugu zangu,,Mimi Kama shabiki wa mpira,mwananchi..Kama professor ataanza na kikosi hiki,,Simba Sc watapata tabu Sana...
1: diara
2:djuma
3: Bryson
4:Mwamnyeto au dick Job
5:Bangala..
6:Mukoko
7:Mukoko
8:Aucho
9:Mayele
10:feisal salum "fei Toto" MAESTRO
11: SAIDO
Nasubiri shabiki wa makolo ashuke kikosi chake Cha ushindi...
kesho ndiyo tuta dhihirisha kuwa wewe ni mganga, mhemba au tapeli,Simba 3 yanga 0
Hana lolote huyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kesho ndiyo tuta dhihirisha kuwa wewe ni mganga, mhemba au tapeli,
Ni lini Mara ya mwisho ulimfunga khamsa mnyama, au ndo mpaka kagoli ka sangoma?yaani keshoo makolo kimbieni, mkiji danganya kupeleka tim tuu, papaa mayele 'ana tetema' mara4, Feisal 2, saidoo1....
Angalia usije ukaikimbia hii postkesho ndiyo tuta dhihirisha kuwa wewe ni mganga, mhemba au tapeli,
kwa simba hii niliyoiona inakata pumzi na geita na inakata pumzi na red arrows.Kesho makolo kufungwa ni km umuhm wa binadam kula chakula km ana afya njemaSimba 3 yanga 0
Hujakoma utabiri wa mchongo kama last game!Simba 3 yanga 0
Umeona ee!Hujakoma utabiri wa mchongo kama last game!