Revola
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 1,516
- 1,338
Raundi ya tatu Yanga akichukua point moja kwa Medeama halafu Belouzdad akifa kwa Ahly ugenini kundi litakuwa hivi...
MSIMAMO
1. Al Ahly points (7)
2. Medeama points (4)
3. CR Belouzdad points (3)
4. Young Africa points (2)
Raundi ya nne yanga watakuwa nyumbani Benjamin Mkapa Dar es Salaam na Medeama na Al Ahly atakuwa ugenini na Belouzdad.
Matokeo ambayo yapo ktk uwezekano mkubwa ni Yanga kuondoka na ushindi na Belouzdad, kushika bomba mpaka mwisho na kuambulia sare na Ahly. Hivyo kundi litakuwa hivi.
MSIMAMO:
1. Al Ahly points (8)
2. Young Africa points (5)
3. CR Belouzdad points (4)
4. Madeama points (4)
Raundi ya tano Yanga anaikaribisha Belouzdad Uwanja wa Benjamini Mkapa Dar es Salaam. Kisasi ni lazima, hivyo lazima Belouzdad afe kwa mkapa watumie mbinu zozote Belouzdad AFE kwa mkapa na Kule Ghana Medeama lazima afe kwa Al Ahly maana kama Yanga watakuwa wamechukua tatu kama tulivyoona hapo juu, Al Ahly anazikosaje sasa!!
Raundi ya mwisho Yanga hata kama atakufa kwa Al Ahly ugenini na Belouzdad akamkanda Medeama nyumbani bado haitabadilisha msimamo. Hivyo kundi litamalizika hivi:-
MSIMAMO:
1. Al Ahly points (11)
2. Young Africa points (8)
3. CR Belouzdad points (7)
4. Madeama points (4)
Hapo wananchi watakuwa wamepita.
Cha msingi kocha Gamondi azingatie namna ya kuwaanzisha wachezaji ambao ataona wanafaa kuanza na super sub aziingize pale panapofaa na wajitume, tukiacha ushabiki tukaingia kwenye facts Yanga inauwezo ni tacts ndogo ndogo zakumalizia kwa adui ndicho kinachosumbua hii timu.