Yanga ikifanya hivi inatoboa kwenye robo fainali mapema tu

Piga HESABU upya,hizo zinaelekea kugoma
 
Anza upya ahly vs belouz ni 0-0 twende kazi
 
Mkuu sijasema mabaya ila belouzdad kachua point nyumbani Kwa ahly ,tunasubiri kuona kwake atafanya Nini akifanikiwa kumpiga Ahly tunarudi kupiga hesabu
Hili kundi bwana Gamondi anezembea mwenyewe! Sijui kwa nini siku hizi hajui kufanya sub! Pacomé alifika mahali akachoka lakini hapumzishwi! Halafu leo Mda alitakiwa awemo uwanjani!
 
Matokeo ya Alhaly 0 vs 0 Belouzadad bila ushabiki ni mabaya kwa Yanga na inaonesha watakao pita ndiyo hawahawa
 
Matokeo ya Alhaly 0 vs 0 Belouzadad bila ushabiki ni mabaya kwa Yanga na inaonesha watakao pita ndiyo hawahawa
Bado mkuu jamaa ana nafasi usimbeze! Mpira huu sasa hautabiriki! Ulikuwa unaamini kwamba Al Ahly anaweza kushindwa kumfunga CR Belouizdad nyumbani?
 
HATIMAE MAMBO YALIKUWA POA SANA KAMA ILIVYO JAPO KIDOGO MPISHANO ULIKUWEPO KIDOGO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…