Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji13] [emoji13] Mkuu huyu jamaa hakutimiza ahadi yake baada ya kugongwa na SimbaHaya timiza ahadi yako sasa
nimefukua kaburi
[emoji13] [emoji13] [emoji115] aliahidi kukata ma.mbupu sijui bado yuko nayo[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Mikia ikimfunga yanga nakata korodani zangu palepale taifa
nimefukua kaburi
UKIWA UNATOKEA MAENEO GANI ILI NIWE NYUMA YAKO....Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.
Anza kutembea uchi maana YANGA keshafungwa 1Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.