Yanga ikifungwa Jumamosi natembea bila nguo

Yanga Huwa Kufungwa Na Simba Ni Lazima 😀
 
Aah!
 

Anza safari ya uchi sasa. Nataka kuuona huo mkuyenge wako.
 
Mkuu ile ahadi yetu vipi?
Niko njiani hapa nasubiri upite uchi ili tumalizane niende zangu kubeti
 
Huku mtaani kwetu kuna jamaa na rafiki yake wamewekeana BONDI ya mke iwapo SIMBA akishinda,wakaniita kuniomba niwe shahidi nikawaambia mim naogopa kuwa shahidi sitaki kesi. Sasa SIMBA kashinda sijui BOND iliyowekwa imekuwaje.
 
Uko wapi tufaid
 
Cjaona mtembea uchi wa kiume kitambo saaan,,
Fanya kupita hadi uku ubungo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…