Yanga ikifungwa Jumamosi natembea bila nguo

c70c1a3fcaf6aeea88d8f155d9fc2dad.jpg
mbona huvui sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.
Ushatembea?
 
Mkuu tuone basi ulichojaaliwa[emoji39] [emoji39] [emoji39]
 
Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.
Haaaaahh haaaahhh...! Ahadi deni..soo utaanzia mitaa ya kariakoo hadi wapi MKUU[emoji15] [emoji46] [emoji124]
 
Back
Top Bottom