khaligraph
JF-Expert Member
- Nov 19, 2016
- 1,141
- 1,057
Nipo hapa dirishani nayapa macho ChaklaKwakuwa nilikuunga mkono hoja yako mkuu, hapa niko utupu wa binadamu nazunguka tu room.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mbona huvui sasa
Mikia ikimfunga yanga nakata korodani zangu palepale taifa
Nimechomoa kutembea uchiWe utapita mitaa ipi mkuu
Ushatembea?Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.
Naomba hizo korodaniMikia ikimfunga yanga nakata korodani zangu palepale taifa
Mungu anakuona mkuu.
Mkuu tuone basi ulichojaaliwa[emoji39] [emoji39] [emoji39]Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.
Haaaaahh haaaahhh...! Ahadi deni..soo utaanzia mitaa ya kariakoo hadi wapi MKUU[emoji15] [emoji46] [emoji124]Kwa maandalizi ya uhakika wanayofanya Yanga huko kambini na hali ya taharuki inayoendelea katika kambi ya wamchangani huko visiwani nachelea kusema simba hatoweza kupata sare sahau kuhusu kumfunga yanga hivyo basi simba akishinda jmosi nahaidi kutembea bila nguo kwanzia hapa tandale mpaka madale.
Nadhani mpaka sasa huna korodani.Mikia ikimfunga yanga nakata korodani zangu palepale taifa
Vp huyu jamaa ametimiza ahadi yake?