πππFupisha maneno dadaaa. Sema....
Uto 1 - Wahuni 6
Hivi nani kavaa beji hyo mara nyingi...unajua unachekesha sana...yani ww baada ya miaka 19 hivi vi msimu viwili umechetuka kama umekua kungwi mzee..kumbe mwali kigego...hahahaaaMnaitamani CAFCL ila ndo ivo hadhi yenu ni ya kushiriki mashindano ya akina mama
Hapo futa andika mashindano ya akina mama πHivi nani kavaa beji hyo mara nyingi...unajua unachekesha sana...yani ww baada ya miaka 19 hivi vi msimu viwili umechetuka kama umekua kungwi mzee..kumbe mwali kigego...hahahaaa
Sifuti ww mwali kigego...Hapo futa andika mashindano ya akina mama π
Huyo aliyelala chini mbona ka mzimu?View attachment 3162511
Hii ndo chukua mpira twende kwao...hahaha
πππSifuti ww mwali kigego...
Labda ndo alitapika...ahahhaHuyo aliyelala chini mbona ka mzimu?
Ukiwepo na ww kungwi wao uliebobea...ukiwapa moja mbili tatu ya ulivyokua unashiriki ili kufika fainale...au umejisahau kama ulifika fainali ukalala na shanga zao kabisa...πππ
Kesho akina mama wanajirusha
Kesho ndo naenda kumchafua mremboUkiwepo na ww kungwi wao uliebobea...ukiwapa moja mbili tatu ya ulivyokua unashiriki ili kufika fainale...au umejisahau kama ulifika fainali ukalala na shanga zao kabisa...
Wote utakutana na mrembo mwenzio...Kesho ndo naenda kumchafua mrembo
Mashindano ya akina mama
Kaduguda aliona mbaliWote utakutana na mrembo mwenzio...
Haya pumzika upoze machunguKiongozi wa wamama ni wewe