Yanga ikifungwa najisikia raaaaha saaana!

Attachments

  • 1732645895736.jpg
    1732645895736.jpg
    334.9 KB · Views: 1
Mnaitamani CAFCL ila ndo ivo hadhi yenu ni ya kushiriki mashindano ya akina mama
Hivi nani kavaa beji hyo mara nyingi...unajua unachekesha sana...yani ww baada ya miaka 19 hivi vi msimu viwili umechetuka kama umekua kungwi mzee..kumbe mwali kigego...hahahaaa
 
Hapo futa andika mashindano ya akina mama 😆
 
Attachments

  • 1732645895736.jpg
    1732645895736.jpg
    334.9 KB · Views: 1
😆😆😆
Kesho akina mama wanajirusha
Ukiwepo na ww kungwi wao uliebobea...ukiwapa moja mbili tatu ya ulivyokua unashiriki ili kufika fainale...au umejisahau kama ulifika fainali ukalala na shanga zao kabisa...
 
Kesho ndo naenda kumchafua mrembo
Mashindano ya akina mama
 
Back
Top Bottom