Kocha, wachezaji na viongozi wa Yanga watakuwa salama hata kama Yanga itafungwa, lakini sio simba. Na hiyo ndiyo itakayosababisha Simba kufungwa na Yanga mfululizo msimu huu.
Ombaomba FC wanaenda uwanjani kuona miujiza tu ya timu yao kama inaweza kuifunga timu tajiri yenye kikosi kipana kilichosheni vipaji vilivyokutana na makocha bora kabisa wa ubelgiji waliopelekwa Uturuki kwa mafunzo ya hali ya juu kabisa.
Yanga watakwenda uwanjani bila pressure kuuubwa kama wenzao wa thimba. Ndio maana Simba ni rahisi mno kuwa Kimba leo.