Yanga ikifungwa sababu ipo, Simba hawana.

Yanga ikifungwa sababu ipo, Simba hawana.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kocha, wachezaji na viongozi wa Yanga watakuwa salama hata kama Yanga itafungwa, lakini sio simba. Na hiyo ndiyo itakayosababisha Simba kufungwa na Yanga mfululizo msimu huu.
 
Yule mama na Simba haziivi
Kwa Hiyo lazm afanye mambo
 
Mikia wana mengi. Kocha feki anayebebwa na usajili.

Wale wasiomtaka Mo watafanya yao ili ang'oke.

Ma striker vibabu kushindwa kazi.
 
Ombaomba FC wanaenda uwanjani kuona miujiza tu ya timu yao kama inaweza kuifunga timu tajiri yenye kikosi kipana kilichosheni vipaji vilivyokutana na makocha bora kabisa wa ubelgiji waliopelekwa Uturuki kwa mafunzo ya hali ya juu kabisa.

Yanga watakwenda uwanjani bila pressure kuuubwa kama wenzao wa thimba. Ndio maana Simba ni rahisi mno kuwa Kimba leo.
 
Simba kugeuka Kimba leo ni rahisi mnnoo.
 
Back
Top Bottom