Yanga ikifuzu robo fainali leo, basi naitabiria kufika fainali ya CAFCL

Yanga ikifuzu robo fainali leo, basi naitabiria kufika fainali ya CAFCL

holoholo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2023
Posts
1,859
Reaction score
2,986
ikitokea tu yanga ikatinga robo final ya CAFCL basi na final yenyewe ipo mikononi mwao,kikwazo kikubwa ni dhidi ya mc algers leo. yanga kufanya vibaya CAFCL mechi za mwanzoni ulikuwa ni kipindi cha mpito sasa tumerudi kulekule kuwa yanga ni miongoni mwa timu nne zinazopigania ubingwa CAFCL msimu huu. kila lenye kheri leo YOUNG AFRICANS SC leo.
 
Wachague: Al Ahly, Esperence, Mamelod Sundowns

Hawaendi popote, mwarabu anawaachia manyoya taifa.
 
Back
Top Bottom