Yanga ikifuzu robo fainali leo, basi naitabiria kufika fainali ya CAFCL

Kila laheri kwenu ...
 
Daima mbele nyuma mwiko.
 
Apocalypse ukitimia utaheshimika lakini usipotimia,maisha baada tukio hutakaa kwa amani.Kumbuka mwaka 2010 hayati sheikh Yahaya alitoa unabii fulani na kwa kuwa haukutimia tulimwona mzee wetu kama kituko fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…