kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Uwezekano wa Yanga kutetea kombe lake la VPL msimu huu 35% tu. Wapenzi wa Yanga bila shaka watakuwa na sababu nyingi za wazi kujitetea kama Yanga itafungwa na Simba au kuupoteza ubingwa walioushikilia kwa miaka 3 mfululizo. Ziko sababu za wachezaji kuumia, Manji, ukosefu wa pesa na kuondoka kikosini kocha wao mkuu wakati muhimu kwa timu.
Je, ni sababu ipi kubwa na nani wa kulaumiwa kama Yanga itaukosa ubingwa wa VPL msimu huu?
Je, ni sababu ipi kubwa na nani wa kulaumiwa kama Yanga itaukosa ubingwa wa VPL msimu huu?