Yanga ikiukosa ubingwa lawama zimwendee nani?

Yanga ikiukosa ubingwa lawama zimwendee nani?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Uwezekano wa Yanga kutetea kombe lake la VPL msimu huu 35% tu. Wapenzi wa Yanga bila shaka watakuwa na sababu nyingi za wazi kujitetea kama Yanga itafungwa na Simba au kuupoteza ubingwa walioushikilia kwa miaka 3 mfululizo. Ziko sababu za wachezaji kuumia, Manji, ukosefu wa pesa na kuondoka kikosini kocha wao mkuu wakati muhimu kwa timu.

Je, ni sababu ipi kubwa na nani wa kulaumiwa kama Yanga itaukosa ubingwa wa VPL msimu huu?
 
Haitakuwa na wakulaumu maana mpaka sasa wana sababu kubwa ya kuukosa, walikuwa busy na mechi za KIMATAIFA.
 
Wana mechi nyingi za kimataifa na hata FA cup wamepambana sio simba mikia walitolewa asubuhiii na katimu ka daraja la 3.
 
Yanga mmesema safari hamna haja ya ubingwa wa VPL kwakuwa mmeuchukua mara tatu mfululizo.
Ivi mlikuwa mnatania au ndio dalili ya " Sizitaki Mbichi Hizi "
 
Sababu kubwa ni;
1. Mwendo mdundo wa Simba,
2. KUWA TEGEMEZI.
hadi mpate msaada wa Azam ndio mchukue kombe...ubingwa utakuwa wa Simba na Azam,(Simaza)...,,umeona wapi wachezaji wanne unawauza kwa mpinzani wako....Bakhresa na familia yake ni Simba kulialia...timu mbili kushindana na Yanga haijawahi kutokea duniani
 
Acheni kulalamika wekezeni kwenye swimming kwani bwawa mnalo tayari!!
 
hadi mpate msaada wa Azam ndio mchukue kombe...ubingwa utakuwa wa Simba na Azam,(Simaza)...,,umeona wapi wachezaji wanne unawauza kwa mpinzani wako....Bakhresa na familia yake ni Simba kulialia...timu mbili kushindana na Yanga haijawahi kutokea duniani
Kikwete aliwaambia Azam kama wakitaka timu yao ipige hatua waachane na kufanya Azam kuwa tawi la Simba wakampuuza, ona sasa Azam inavyohangaika
 
hadi mpate msaada wa Azam ndio mchukue kombe...ubingwa utakuwa wa Simba na Azam,(Simaza)...,,umeona wapi wachezaji wanne unawauza kwa mpinzani wako....Bakhresa na familia yake ni Simba kulialia...timu mbili kushindana na Yanga haijawahi kutokea duniani
Kama hivi basi hata Yanga fc wanategemea msaada toka Simba sc.
Simba imewapatia, Yo ndani, Tambwe, Kessi, Ajibu, nk.
Simba inauwezo wa kumsajiri mchezaji yeyote inayomhitaji katika VPL, bila kujali ni wa Azam kama Bocco au Yanga kama Niyonzima.
Mpira Pesa kwa sasa.
 
kwa mpigo...Barcelona anaweza kuwauzia Madrid key players 4 kwa mpigo..Simba hajawanunua wakina Boko ila mmepewa kuongeza nguvu na kuidhoofisha Azam upinzani upungue...Yanga walitoa 50 m kwa Azam kumnunua Gadiel
 
Back
Top Bottom