hadi mpate msaada wa Azam ndio mchukue kombe...ubingwa utakuwa wa Simba na Azam,(Simaza)...,,umeona wapi wachezaji wanne unawauza kwa mpinzani wako....Bakhresa na familia yake ni Simba kulialia...timu mbili kushindana na Yanga haijawahi kutokea dunianiSababu kubwa ni;
1. Mwendo mdundo wa Simba,
2. KUWA TEGEMEZI.
Kikwete aliwaambia Azam kama wakitaka timu yao ipige hatua waachane na kufanya Azam kuwa tawi la Simba wakampuuza, ona sasa Azam inavyohangaikahadi mpate msaada wa Azam ndio mchukue kombe...ubingwa utakuwa wa Simba na Azam,(Simaza)...,,umeona wapi wachezaji wanne unawauza kwa mpinzani wako....Bakhresa na familia yake ni Simba kulialia...timu mbili kushindana na Yanga haijawahi kutokea duniani
Kama hivi basi hata Yanga fc wanategemea msaada toka Simba sc.hadi mpate msaada wa Azam ndio mchukue kombe...ubingwa utakuwa wa Simba na Azam,(Simaza)...,,umeona wapi wachezaji wanne unawauza kwa mpinzani wako....Bakhresa na familia yake ni Simba kulialia...timu mbili kushindana na Yanga haijawahi kutokea duniani
kwa mpigo...Barcelona anaweza kuwauzia Madrid key players 4 kwa mpigo..Simba hajawanunua wakina Boko ila mmepewa kuongeza nguvu na kuidhoofisha Azam upinzani upungue...Yanga walitoa 50 m kwa Azam kumnunua GadielKama hivi basi hata Yanga fc wanategemea msaada toka Simba sc.
Simba imewapatia, Yo ndani, Tambwe, Kessi, Ajibu, nk.
Simba inauwezo wa kumsajiri mchezaji yeyote inayomhitaji katika VPL, bila kujali ni wa Azam kama Bocco au Yanga kama Niyonzima.
Mpira Pesa kwa sasa.