Yanga ikiwa kwenye top form imefungwa ni Simba iliyokuwa kwenye low form: Simba ikirudi kwenye top form, Yanga wahesabu maumivu zidi!

Ingekuwa ligi Yanga ana points 4 simba 2.

Simba walikuwa hawana furaha kabisa kwa moto waliokuwa wanapelekewa washukuru tu Yanga kwa sasa wafungaji ni changamoto.

Kilichowaokoa Simba ni matuta tu, na wakisema wabweteke kwamba wameshinda hio ni big mistake, nae konde boy kwa sasa si kama yule tuliemjua, mwili umekua mzito.
 
ingekuwa ligi Yanga ana points 4 simba 2.

Simba walikuwa hawana furaha kabisa kwa moto waliokuwa wanapelekewa washukuru tu Yanga kwa sasa wafungaji ni changamoto.

kilichowaokoa Simba ni matuta tu, na wakisema wabweteke kwamba wameshinda hio ni big mistake, nae konde boy kwa sasa si kama yule tuliemjua, mwili umekua mzito.
Konde boy atarudi kwenye form!! Hesabuni maumivu!!
 
Kwani Kimetokea nini huko..?

Vilio vimezidi huku,tunajitahidi kuwanyazisha na kuwatia moyo hawa waja kwamba Siku nyingine Kocha atawafundisha Wachezaji wao namna nzuri ya kupiga penati Lkn waaapi...!

Wanadai haiwezekani,maajabu yale angalau yangefanywa na Tz one Lkn Sio dogo Ally Salim Katoro
 
Yanga haina uwezo wa kucheza vizuri zaidi kuliko ilivyocheza jana. Hapo ndipo ilipoishia!. Lakini Simba bado itaongeza makali, bado haijafika kwenye top form yake. Kwa maana hiyo itakapofikia top form yake haitakamatika kabisa!
IMG-20230813-WA0123.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba sio wabovu, ule ndio uwezo wao halisi ila wamekutana na Yanga ambayo kocha mpya ameiongezea ubora kwa soka la kasi na timu yenye uwiano.
Simba kama ita cheza na timu za kawaida kwenye ligi yetu utawaona wakali.
Ubora wa Yanga utaongezeka kwa kadri kocha mpya atavyo pata muda zaidi.

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
ingekuwa ligi Yanga ana points 4 simba 2.

Simba walikuwa hawana furaha kabisa kwa moto waliokuwa wanapelekewa washukuru tu Yanga kwa sasa wafungaji ni changamoto.

kilichowaokoa Simba ni matuta tu, na wakisema wabweteke kwamba wameshinda hio ni big mistake, nae konde boy kwa sasa si kama yule tuliemjua, mwili umekua mzito.
Konde boy anaenda kuwa best player of the year bado mzima san yule kwa ligi yetu subiri muda utaongea aanze kusepa na vijiji
 
Yanga haina uwezo wa kucheza vizuri zaidi kuliko ilivyocheza jana. Hapo ndipo ilipoishia!. Lakini Simba bado itaongeza makali, bado haijafika kwenye top form yake. Kwa maana hiyo itakapofikia top form yake haitakamatika kabisa!
Yaani hii ndio ukweli maana yake yanga si ile Tena wajipange haraka Simba wangefungwa Leo yanga ingebweteka Ila kwa kufungwa wajipange haraka sana imeonyesha mapungufu Ila Simba Ina Kila kitu ttz kocha tu
 
Yanga haina uwezo wa kucheza vizuri zaidi kuliko ilivyocheza jana. Hapo ndipo ilipoishia!. Lakini Simba bado itaongeza makali, bado haijafika kwenye top form yake. Kwa maana hiyo itakapofikia top form yake haitakamatika kabisa!
Imefungwa goli ngapi?

Timu mpaka inapewa kombe haijafunga hata goli moja halafu mnasema mna timu.

Simba mbovu kupita wkt wote.
 
wewe hujui mpira aiseeh ule ndio uwezo wa mwisho wa Simba Yanga hii yenye benchi la ufundi jipya na pia imeondokewa na wachezaji muhimu lakin bado imepiga mpira wa kiwango kikubwa vile nakupa muda tu Yanga itakua yamoto na hakuna atakae igusa na akatoka salama..
 
ingekuwa ligi Yanga ana points 4 simba 2.

Simba walikuwa hawana furaha kabisa kwa moto waliokuwa wanapelekewa washukuru tu Yanga kwa sasa wafungaji ni changamoto.

kilichowaokoa Simba ni matuta tu, na wakisema wabweteke kwamba wameshinda hio ni big mistake, nae konde boy kwa sasa si kama yule tuliemjua, mwili umekua mzito.
Inge, inge,inge....... haikuwa ligi, usiishi kwenye wishful thinking utachekwa !!!
 
Konde boy atarudi kwenye form!! Hesabuni maumivu!!
Konde mpk arudi kwenye form aziz ki nae atakua kisharudi kwenye form,konkon atakua kishazoea ligi na kocha gamond sidhani kwa wiki 2 hizi ndio mfumo wake uwe umeeleweka vile ile ni 10% tu ya alichowapa wachezaji,half ya kwanza kocha limechezesha kikosi cha zamani kasoro mcameroon na mikison na bado mlizidiwa inamaanisha hata wachezaji aliokaa nao zaidi ya miezi 6 awamuelewei
 
wewe hujui mpira aiseeh ule ndio uwezo wa mwisho wa Simba Yanga hii yenye benchi la ufundi jipya na pia imeondokewa na wachezaji muhimu lakin bado imepiga mpira wa kiwango kikubwa vile nakupa muda tu Yanga itakua yamoto na hakuna atakae igusa na akatoka salama..
Tupe matokeo tafadhali.
 
Jana ndio ilikuwa siku nzuri kwa Yanga kuifunga simba maana inavyoonekana kocha wa Simba bado kabisa hajapata kikosi cha kwanza! bado anajaribisha tu, na inavyoelekea hakubali kabisa ushauri wa wenyeji. Ameamua kujitafutia kikosi chake mwenyewe cha kwanza!!. Ameamua kwa sasa kumpa kila mchezaji nafasi sawa ili mwisho wa siku apate kikosi cha kwanza. Asichokijua kocha wa simba ni kwamba watanzania huwa hawana uvumilivu, hawatamsubiri na kumvumilia kwa muda mrefu!! Mungu amsaidie amalize mchakato huo mapema tupate raha!! Vinginevyo virago vinamhusu!!
 
Yanga haina uwezo wa kucheza vizuri zaidi kuliko ilivyocheza jana. Hapo ndipo ilipoishia!. Lakini Simba bado itaongeza makali, bado haijafika kwenye top form yake. Kwa maana hiyo itakapofikia top form yake haitakamatika kabisa!
Ule mpira wa jana wa Yanga umetoka kwa kocha ambaye ana muda mfupi sana tokea ainoe Yanga? Je unalinganisha vipi na kocha alikaa na Simba aliyedumu na Simba zaidi ya miezi sita na bado timu inacheza mpira mbovu vile.
Yanga imecheza michezo mingapi kubwa ya kimashindano na kirafiki hadi sasa? Lakini Simba imeenda hadi uturuki na kucheza mechi za kirafiki na waarabu tena mechi zaidi ya mbili.
Ni ajabu sana kuona timu ya Simba inayoongozwa na mtu aliyekuwa na timu kwa muda mrefu itaenda kubadilika positive halafu Yanga ambaye kocha ana muda mfupi tu kaiongoza timu katika kiwango bora unaona watabaki pale pale tu. Linganisha na muda wa kila kocha hadi sasa.
 
Jana ndio ilikuwa siku nzuri kwa Yanga kuifunga simba maana inavyoonekana kocha wa Simba bado kabisa hajapata kikosi cha kwanza! bado anajaribisha tu, na inavyoelekea hakubali kabisa ushauri wa wenyeji. Ameamua kujitafutia kikosi chake mwenyewe cha kwanza!!. Ameamua kwa sasa kumpa kila mchezaji nafasi sawa ili mwisho wa siku apate kikosi cha kwanza. Asichokijua kocha wa simba ni kwamba watanzania huwa hawana uvumilivu, hawatamsubiri na kumvumilia kwa muda mrefu!! Mungu amsaidie amalize mchakato huo mapema tupate raha!! Vinginevyo virago vinamhusu!!
Acha siasa wewe, uyo kocha ana mda gani pale Simba? Mbona Gamond ana mwezi mmoja lakini Yanga inaonekana imebadilika na kua na kasi na balance.
 
Utetezi wa kijinga huu, hiyu kocha wa Yanga kaja lini hadi awe tayari ana kikosi cha kwanza? Kocha wa Yanga ni mpya kabisa katika soka la Tanzania, ni mpya kabisa katika benchi la Yanga na tokea aje ana muda mfupi sana na isitoshe timu haikucheza mechi yeyote kubwa zaidi ya mechi dhidi ya Kaizer chief. Sasa hiyo first eleven kaipata vipi? Kocha wenu ana muda mrefu na timu na hakuna mchezaji yeyote muhimu aliyeuzwa lakini timu inacheza mpira utafikiri watu waliookotwa mtaani wakaitwa kucheza mechi na wakati timu ilikuwa Uturuki preseason kwa muda mrefu tu na mechi za kirafiki zimechezwa.
 
Acha siasa wewe, uyo kocha ana mda gani pale Simba? Mbona Gamond ana mwezi mmoja lakini Yanga inaonekana imebadilika na kua na kasi na balance.
Kocha wa simba ana muda pale kiasi, lakini kuna wachezaji wageni wengi na anahitaji muda zaidi kuwafahamu. Lakini nikiri pia kuwa huyu kocha wa simba nadhani hii kazi ni kama inamshinda vile!! Mashabiki waandamizi wengi wa simba wanamlalamikia!! Wachezaji wazuri anao lakini ni kama ameshindwa jinsi ya kuwatumia vizuri!!
 
Back
Top Bottom