mshilakule
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 280
- 227
Kama yanga anabebwa simba atakuwa anafanywa nn maana hata wanasimba wenyewe wanjauwa km sikuizi siyo simba tu bali ni kombaini fc ...inajumuisha simba na tff
Sent using Jamii Forums mobile app
unauliza wapewe nini ili waridhike.Mimba inawasumbua Yanga.
Mlipangiwa match za karibu karibu mkasema mmeonewa mtachoka sana,mkaachwa mpumzike wiki nzima kabla ya kukutana na mtibwa aliyechoka,mnalalamika eti mnaonewa?!!Hivi nyie mpewe nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hasira ya Yanga ni Simba kutopoteza mechi na siku Simba ikipoteza mechi Yanga wataandama Uchi kwa Furaha.Leo Yanga ilikuwa ikicheza na Mtibwa lakini katika mechi ikatokea offside upande wa Mtibwa ambayo haikuwa ya kweli lakini jambo hili halijawa gumzo sana.
Tukio lile ingelikuwa limetokea upande wa Simba nchi nzima ungesikia Simba Wanabebwa. VAR FC chezeni mpira acheni Malalamiko. VAR=Vyura Assistance Referee