Yanga ilikuwa ikicheza na Mtibwa lakini katika mechi ikatokea offside upande wa Mtibwa ambayo haikuwa ya kweli

Yanga ilikuwa ikicheza na Mtibwa lakini katika mechi ikatokea offside upande wa Mtibwa ambayo haikuwa ya kweli

Kama yanga anabebwa simba atakuwa anafanywa nn maana hata wanasimba wenyewe wanjauwa km sikuizi siyo simba tu bali ni kombaini fc ...inajumuisha simba na tff

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu sisi ni Simba kwa hiyo tusitishwe na kelele za VAR FC. NB VAR =Vyura assistance referee
 
Mimba inawasumbua Yanga.
Mlipangiwa match za karibu karibu mkasema mmeonewa mtachoka sana,mkaachwa mpumzike wiki nzima kabla ya kukutana na mtibwa aliyechoka,mnalalamika eti mnaonewa?!!Hivi nyie mpewe nini?
Kama yanga anabebwa simba atakuwa anafanywa nn maana hata wanasimba wenyewe wanjauwa km sikuizi siyo simba tu bali ni kombaini fc ...inajumuisha simba na tff

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimba inawasumbua Yanga.
Mlipangiwa match za karibu karibu mkasema mmeonewa mtachoka sana,mkaachwa mpumzike wiki nzima kabla ya kukutana na mtibwa aliyechoka,mnalalamika eti mnaonewa?!!Hivi nyie mpewe nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
unauliza wapewe nini ili waridhike.

Na wao kila mechi wanayocheza wachezaji wao waachwe wakiwa kwenye offside position ili waifungie timu yao kama wanavyofanya wana wa msimbazi tuone kama hawatoridhika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo Yanga ilikuwa ikicheza na Mtibwa lakini katika mechi ikatokea offside upande wa Mtibwa ambayo haikuwa ya kweli lakini jambo hili halijawa gumzo sana.

Tukio lile ingelikuwa limetokea upande wa Simba nchi nzima ungesikia Simba Wanabebwa. VAR FC chezeni mpira acheni Malalamiko. VAR=Vyura Assistance Referee
Hasira ya Yanga ni Simba kutopoteza mechi na siku Simba ikipoteza mechi Yanga wataandama Uchi kwa Furaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom