This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
Msemaji wa yanga anaongea sana bila uhalisia nadhani hata malengo ya mwalimu hayajui yeye anachojua nikuwa nyuma ya mikamela, (behind cameras) anatakiwa akipime kwamba siyo wote wenye upeo wa kufikiri km wa kwake, running a foot ball club it is not like family matters or a bandTofauti na kauli zinazotolewa baada ya kupokea kichapo cha goli tatu kwa moja kutoka kwa APR ya Rwanda, timu ya Yanga ilienda Zanzibar ikiwa na malengo makubwa.
Kauli zinazotolewa baada ya kichapo ni kauli za kujipoza na aibu ya kufungwa goli 3.
Ikumbukwe baada ya simba kudroo na APR maneno yalikuwa mengi sana kutoka kwa viongozi , wapenzi, mashabiki wa Yanga kwamba Simba ni mbovu kwasabbu imesuluhu na timu yenye mpira mdogo ya APR.
Uungwana ni kukubali kuzidiwa na siyo kuleta visingizio.
Soma alichoandika Priva kwenye mtando wa X. Fuatilia na viongizi na waoenzi wa yanga kabla ya kichapo tangu kombe la mapinduzi lianze.
View attachment 2865553
Sawa KolofiveHao jamaa hamnazo, ifike wakati tukubaliane hawana hadhi ya kujadiliwa humu. Ni kama kikundi cha wahuni tu
Mwasibu fekiHao jamaa hamnazo, ifike wakati tukubaliane hawana hadhi ya kujadiliwa humu. Ni kama kikundi cha wahuni tu
Sawa umesikikaTofauti na kauli zinazotolewa baada ya kupokea kichapo cha goli tatu kwa moja kutoka kwa APR ya Rwanda, timu ya Yanga ilienda Zanzibar ikiwa na malengo makubwa.
Kauli zinazotolewa baada ya kichapo ni kauli za kujipoza na aibu ya kufungwa goli 3.
Ikumbukwe baada ya simba kudroo na APR maneno yalikuwa mengi sana kutoka kwa viongozi , wapenzi, mashabiki wa Yanga kwamba Simba ni mbovu kwasabbu imesuluhu na timu yenye mpira mdogo ya APR.
Uungwana ni kukubali kuzidiwa na siyo kuleta visingizio.
Soma alichoandika Priva kwenye mtando wa X. Fuatilia na viongizi na waoenzi wa yanga kabla ya kichapo tangu kombe la mapinduzi lianze.
View attachment 2865553
Hata Gamondi alikazia ushindi hadi kubeba kombeTofauti na kauli zinazotolewa baada ya kupokea kichapo cha goli tatu kwa moja kutoka kwa APR ya Rwanda, timu ya Yanga ilienda Zanzibar ikiwa na malengo makubwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wamevurugwa had baas.Bora uliscreen shot mapema maana hawa vyura akili zao wanazijua wenyewe...
Dah kweli binadamu ni wasahaulifu sana. Leo mwasibu unawaita watu wahuni na hawana hadhi ya kujadiliana wakati wewe nyuzi zako kibao umezikimbia!Hao jamaa hamnazo, ifike wakati tukubaliane hawana hadhi ya kujadiliwa humu. Ni kama kikundi cha wahuni tu
Wasemaji mpo wengi sana baada zile tatu za APRMalengo ya Yanga ilikuwa ni kuibua vipaji vipya, hasa kutoka timu ya under 20.
Pia kuwapa wachezaji wa akiba waonyeshe kuwa wanastahili kubaki Yanga.
Basi, hayo indio malengo makuu ya timu ya wananchi kwenye mashindano haya.
Tunajua huna ubongoSawa umesikika
Hahahahaha, hapa ndio huwa nafurahigi , mhasibu ktk ubora wakoHao jamaa hamnazo, ifike wakati tukubaliane hawana hadhi ya kujadiliwa humu. Ni kama kikundi cha wahuni tu
Yaani kweli, umbumbumbu upo , muhasibu nae , Hahahaha,watanzania banaDah kweli binadamu ni wasahaulifu sana. Leo mwasibu unawaita watu wahuni na hawana hadhi ya kujadiliana wakati wewe nyuzi zako kibao umezikimbia!
Sio nyie mliosema mnaenda kubeba kila kitu huko mapinduzi?Malengo ya Yanga ilikuwa ni kuibua vipaji vipya, hasa kutoka timu ya under 20.
Pia kuwapa wachezaji wa akiba waonyeshe kuwa wanastahili kubaki Yanga.
Basi, hayo indio malengo makuu ya timu ya wananchi kwenye mashindano haya.
Haya siyo maneno ya SIPIEI holida!Hao jamaa hamnazo, ifike wakati tukubaliane hawana hadhi ya kujadiliwa humu. Ni kama kikundi cha wahuni tu
Sometimes inabidi kuwa wakali ili kuimarisha jukwaa.Haya siyo maneno ya SIPIEI holida!
Sawa mamaTunajua huna ubongoView attachment 2865888